tangazo

Friday, February 1, 2013

GALI LA USALAMA WA TAIFA LAPATA AJALI UVINZA-MKOANI KIGOMA

Gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na usalama wa taifa likiwa limeacha chia na kuelekea mtaroni wakati likitoka tabora na kuelekea mkoani kigoma.
           Abiria ambao waliokuwa katika basi la Kampuni ya kazuge wakiwa nanasaidi kujaribu kulikwamua gari ambalo liliacha njia na kuingia mtaroni
                               Gari la usalama wa taifa likiwa limekwama mtaroni baada ya kuacha njia
                            Baadhi ya vijana wakiwa katika harakati za kulikwamua gari hilo
                             Gari la usalama wa taifa likiwa linasukumwa ili litoke hapo lilipokwama
                                                         
           Gari la usalama wa taifa likiwa limekwamuliwa kwenye mtaro baada ya kuacha njia na kuingia mtaroni


Gari lenye namba za usajili T 940 CBL ambalo liliacha njia na kuingia mtaroni likiwa limetolewa na baadhi ya abiria ambao walikuwa wakisafiri kwa basi la kampuni ya Kazuge kulekea Kigoma.

Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 3:30 alasiri katika maeneo ya Uvinza mkoani kigoma baada ya Gari ambalo linasemekana ni mali ya usalama wa taifa kuacha njia na kuingia mtaroni,Ila ajali hiyo haijasababisha madhala yoyote kuumia kwa mtu au kualibika kwa gari hilo.

No comments:

Translate