Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es
salaam leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea
mwenyewe jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu leo Machi 29,
2013 ambapo hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili
wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa
mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye
kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa
ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam
leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea mwenyewe
jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu leo Machi 29, 2013 ambapo
hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili
wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa
mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye
kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa
ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.
Uokoaji ukiendelea............
No comments:
Post a Comment