Mkurungezi
wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bwa. Alex Msama pichani mwenye fulana ya
mistari akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na
Audio za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi
za wasanii kwa njia ya wizi kwenye kituo kikuu cha Polisi mkoani
Dodoma, mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi wa
kazi za wasanii, ambapo jumla ya Cd na Kompyuta zenye thamani ya
shilingi milioni sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la
Polisi mkoani humo.
Mkurungezi
wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bwa. Alex Msama pichani akifafanua jambo
kwa Wanahabari (hawapo pichani), kuhusiana na tukio zima la kamata
kamata ya wezi wa kazi za wasanii iliyofanyika mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment