tangazo

Thursday, November 8, 2012

DR BILAL AENDA KUMJULIA HALI SHEIKH SORAGA.

Dr bilal akimjulia hali sheikh soraga hospital jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akimpa pole katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aliyelazwa katika chumba maalum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu baada ya kumwagiwa Tindi kali huko Zanzibar.

No comments:

Translate