Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha
aliyekuwa mfanyakazi katika Ofisi yake ya jijini Dar es Salaam, Jenkins
Chochole Matulile, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita jijini.
Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilifanyika nyumbani kwao Mbezi Tangi Bovu na kuzikwa katika
makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es salaam leo, Oktoba 11, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na mkewe, Mama Zakhia Bilal, wakitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Jenkins Chochole Matulile, aliyekuwa
mfanyakazi katika Ofisi yake ya jijini Dar es Salaam, aliyefariki dunia
mwishoni mwa wiki iliyopita jijini. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilifanyika
nyumbani kwao Mbezi Tangi Bovu na
kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es salaam leo, Oktoba 11,
2012.
.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mama Mzazi wa marehemu, Jenkins Chochole
Matulile, wakati alipofika nyumbani
kutoa pole na heshima za mwisho kutokana na msiba huo wa aliyekuwa mfanyakazi
katika Ofisi yake ya jijini Dar es Salaam, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki
iliyopita jijini. Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilifnyika nyumbani kwa
kwao Mbezi Tangi Bovu na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es
salaam leo, Oktoba 11, 2012. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment