Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,
akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,
wakati wa hafla ya uzinduzi wa waya wa umeme wa megawati 100 huko Fumba
Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais, Makamu wa Pili wa Rais na
viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa
waya wa umeme wa megawati 100 huko Fumba Zanzibar.
Viongozi mbali mbali wa kitaifa wakiangalia uzinduzi wa waya mkubwa wa umeme huko Fumba
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Mansoor Yussuf
Himid huko Fumba, wakati wa uzinduzi wa waya wa umeme wa megawati 100
Viongozi wa Kitaifa wakiwa pamoja na watendaji wa ZECO katika hafla ya
uzinduzi wa Waya wa Umeme wa Megawati 100 huko Fumba.(Picha na Salmin
Said, OMKR
No comments:
Post a Comment