tangazo

Friday, September 14, 2012

MAELFU WAMZIKA MWANAFUNZI WA VETA-KIGOMA UPENDO BUNDALA

                                     Marehemu Pendo bundala enzi za uhai wake

Baadhi ya wanafunzi pamoja na majirani mbalimbali wakiwa wenye uzuni kwa kumpoteza dadayao kipenzi pendo bundala

               Sanduku ambalo mwili wa marehemu pendo bundala umehifadhiwa

 Wanafunzi wa veta kigoma pamoja na majirani wakiwa wanaupeleka mwili wa marehemu sehemu ambapo ndio yatakuwa makazi yake ya milele(kaburini).

                      Sehemu ambako mwili wa marehemu utazikwa


mwili wa marehemu pendo bundala ukiwa unawekwa kaburini tayari kwa kuzikwa


Hatimae jana maelfu ya wanafunzi pamoja na majirani mbalimbali walifanyikisha shughuri nzima ya kuuzika mwili wa marehemu pendo bundala ambae alipoteza maisha mnamo siku ya tarehe 10/09/2012 kattika hospitali ya maweni mkoani kigoma baada kuugua ghafla.

Mungu ailaze roho ya marehemu upendo bundala mahali pema peponi.
AMEN

No comments:

Translate