tangazo

Saturday, October 13, 2012

BAADHI YA PICHA ZA UHARIBIFU WA TUKIO LA VURUGU ZA WAISLAM MBAGALA KIZUIYANI JIJINI DAR


                                         Mawe yametoboa vioo vingi
                                         Katika madhabahu,pameharibiwa

                                    Mabenchi yamepinduliwa na kuvunjwa
                                            Mimbari imechomwa na kuharibiwa



                                         Ofisi ya Kanisa imechomwa moto
                    Wachungaji wa kanisa hili wakisubiria taarifa kutoka polisi
 Hawa wanafanya maombi na nimesikia wakiwaombea waislamu mungu awasamehe
 Vifaa vya uimbaji vimechomwa moto
 Washarika wakiwa kanisani kwao asubuhi hii
 Gari la mchungaji pia limeharibiwa kabisa

 Ofisi ya mchungaji na mwinjilisti zimeharibiwa kabisa
Kushoto ni msikiti walipotokea waislamu kabla ya kuvamia kanisa kulia.nyumba hizi za ibada ziko jirani zikitenganishwa na barabara tu

No comments:

Translate