tangazo

Tuesday, October 9, 2012

JK Arejea Nchini Leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Waziri wa Sheria na Katiba Mhe Celina Kombani, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Steven Wassira, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adama Malima na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akipokewa  na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadiki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kurejea nchini leo Jumanne Oktoba 10, 2012 akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.

No comments:

Translate