tangazo

Friday, October 5, 2012

WAKAZI 2500 WABOMOLEWA NYUMBA ZAO.

Inakadiriwa kuwa wakazi wapatao 2500 wa kata ya Ananasifu Mtaa wa Mkunguni B Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar Es Salaam hawana mahali pa kuishi baada ya nyumba zao zipatazo 116 zilizopo Bondeni kubomolewa katika zoezi lililoendeshwa leo asubuhi.

Wakazi wa eneo hilo wameilalamikia serikali kwa kutowapa taarifa yoyote juu ya bomoa bomoa hiyo na kusababisha mali zao kuharibika huku afisa Mtendaji wa Kata wa eneo hilo Bi.Rosemary Kitenga akikiri kuwa na taarifa juu ya zoezi hilo.

No comments:

Translate