tangazo

Saturday, October 13, 2012

Kamanda Wa Polisi Mwanza Auawa

Habari za uhakika zinadai kwamba kamanda  wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi usiku maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza. 
 
 Chanzo: Mwandishi Fredrick Katulanda, Mwanza

No comments:

Translate