tangazo

Friday, October 12, 2012

Mwinyi Alipovunja Baraza la Mawaziri 1990

Ilikuwa Jumatatu, Machi 12, 1990 wakati Rais Ali Hassan Mwinyi alipoliita Baraza la Mawaziri na kuwaambiwa wajiuzulu, akiwemo Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Jaji Joseph Sinde Warioba. Ndipo akamteua Mzee Cigwiyemisi John Samuel Malecela kuwa Waziri Mkuu ambaye wakati huo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. 
Tunajikumbusha tu wajumbe wenzangu. Wakati huo hakuna mwananchi au chombo cha habari kilichopiga kelele kushinikiza Rais avunje Baraza hilo, bali ilitokana na utendaji wa Baraza hilo kutoridhisha. Leo hii eti Rais anasubiri mpaka wanaharakati au wananchi wapige kelele ndipo aone kuna matatizo? Tujadilini wadau.

No comments:

Translate