tangazo

Thursday, July 19, 2012

HADI HIVI SASA JUMLA YA MAITI 39 ZIMESHAPATIKANA.

                           Mwanamama akisaidiwa na askari baada ya kuutambua mwili ndugu yake
                      Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri kutambua maiti za ndugu zao
                                Maiti za watoto wachanga zikisubiri kutambuliwa na ndugu na jamaa zao
                      Baadhi ya wageni kutoka nchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa askari polisi
                        Wananchi wakiwa wamefurika katika viwanja vya maisara kisiwani unguja.

                               Wananchi wakiwa wenye huzuni wakati wa kuangalia miili ya jamaa zao
                                    Maiti ikiwa inashushwa kwenye gali la jeshi katika viwanja vya maisara.
     Madaktari wakiwa wanaandika miili ya marehemu wanaoletwa katika  viwanja vya maisara.
              Wahusika wa matayarisho ya mazishi ya miili ambayo itakuwa haijatambuliwa na jamaa zao
                ili iweze kuzikwa kiserikali,wakiwa wanaandaa sanda kwa ajili ya taratibu husika.

No comments:

Translate