tangazo

Friday, July 13, 2012

VIONGOZI WA CHADEMA WALIVYOKWENDA KUHOJIWA NA POLISI LEO

 Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho  juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini. 
                                   Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
                        Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
           Dr slaa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi





No comments:

Translate