tangazo

Tuesday, July 17, 2012

jamani serekali Wakumbukeni na Wanafunzi wa vijijini.




Hawa wote wapo tanzania lakini sijui kwanini mazingira ni tofauti jamani?tafakari kisha toa jibu juu ya hili maana serekali imewasahau sana wanafunzi wa vijijini.

No comments:

Translate