tangazo

Friday, August 10, 2012

AIRTEL YAPELEKA KIKOSI CHA WACHEZAJI NYOTA WA AIRTEL RISING STARS NAIROBI

Afisa Habari wa Kampuni ya Airtel Tanzania Jane Matinde (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza kikosi cha timu ya soka cha Airtel Rising Stars kitakachoshiriki michuano ya Inter-continental yatakayofanyika Nairobi, Kenya mwezi  huu. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Jackson Mmbando.

        Meneja Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza kikosi cha soka cha Airtel Rising Stars kitakachoshiriki michuano ya Inter-continental  yatakayofanyika Nairobi, Kenya baadaye mwezi huu. Kulia ni Afisa Habari wa Airtel Tanzania, Jane Matinde.

No comments:

Translate