tangazo

Thursday, August 23, 2012

MBUYU TWITE ATUA RASMI YANGA SC

Beki mpya wa Yanga SC, Mbuyu Twite akizungumza na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally leo jijini Kigali, Rwanda.

 HATIMAYE beki Mbuyu Twite amejiunga rasmi na klabu yake mpya ya Yanga iliyopo jijini Kigali nchini Rwanda. Beki huyo amefanikiwa kuzungumza kwa mara ya kwanza na gazeti la Championi kupitia kwa Mhariri Kiongozi wa gazeti hilo,  Saleh Ally aliyeko nchini Rwanda.

No comments:

Translate