tangazo

Thursday, August 23, 2012

PICHA ZILIZOTOLEWA NA MTANDAO WA NIGERIA ZIKIONYESHA MABINTI WANAOSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA NIGERIA.


Kwa nchi kama Marekani na nyingine zilizoendelea sio kitu cha ajabu sana kwa watu kujionyesha hadharani kwamba wanashiriki mapenzi ya jinsia moja kutokana na nilichoona kwenye vyombo mbalimbali vya habari lakini kwa Afrika lazima itakua ni stori yenye uzito manake mpaka sasa japo wako wanaokubali kushiriki hayo mapenzi sijawahi kuona wakifanya hadharani kama hawa Wanigeria.
Mabinti wawili wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwenye mji wa Lagos Nigeria wameshindwa kujizuia na kujikuta wamevuka mpaka kwa kufanya kituko ambacho waliokua karibu wengine wamekichukulia poa huku wengine wakikasirika, hata hivyo mtandao wa Naijagists umeripoti kwamba wasichana hao walionekana wamelewa.

No comments:

Translate