tangazo

Wednesday, August 22, 2012

MABOMU NA RISASI ZARINDIMA KARIAKOO KUHUSU UVUNJWAJI WA NYUMBA



                          Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) akifyatua bomu la machozi.
                                                            Vijana wakirusha mawe.
                                            Watu wakikimbia ovyo kusalimisha roho zao.
                                          Askari kanzu wakilinda usalama eneo la tukio.

                                Soko kuu la Kariakoo likiwa limefungwa kufuatia machafuko hayo.    



MAENEO ya Kariakoo jijini Dar es Salaam leo yalikuwa hayakaliki kufuatia vijana waliokuwa wakipambana na polisi wakipinga uvunjwaji wa nyumba iliyokuwa ikimilikiwa  na swahiba wao aliyetajwa kwa jina la Shaban Hassan. Nyumba hiyo imekabidhiwa kwa  Samir Sadiq baada ya kushinda kesi Mahakama ya Ilala jijini.

No comments:

Translate