+++++++++++++++++++++++++
RATIBA za MAN UNITED KUNDI H:
Jumatano Septemba 19
Manchester United FC - Galatasaray A.S.
Jumanne Oktoba 2
CFR 1907 Cluj - Manchester United FC
Jumanne Oktoba 23
Manchester United FC - SC Braga
Jumatano Novemba 7
SC Braga - Manchester United FC
Jumanne Novemba 20
Galatasaray A.S. - Manchester United FC
Jumatano Desemba 5
Manchester United FC - CFR 1907 Cluj
+++++++++++++++++++++++++
Kikosi hicho kina Majina 25 kwa ajili ya Listi A na 8 kwa Listi B.
Kwa mujibu wa Kanuni za UEFA, Mchezaji
anaweza kusajiliwa kwenye Listi B ikiwa amezaliwa Tarehe 1 Januari 1991
au baada ya hapo na amekuwa akiruhusiwa kuichezea Klabu husika kwa muda
usio chini ya Miaka miwili mfululizo tangu atimize Miaka 15 wakati
ambapo amesajiliwa na UEFA.
Pia Kanuni hiyo inasema kuwa Wachezaji
ambao wametimiza Miaka 16 wanaweza kusajiliwa kwenye Listi B ikiwa
katika Miaka miwili iliyopita wamechezea Klabu hiyo kwa Miaka miwili
iliyopita mfululizo.
Wachezaji wa Listi B wanaweza kusajiliwa wakati wowote kabla ya Mechi husika.
Kwa Listi A, jumla ya Wachezaji
wanaoruhusiwa kusajiliwa ni 25 na wawili kati yao wanatakiwa kuwa
Makipa na si chini ya Wachezaji wanane wawe ‘wamekulia’ kwenye Klabu
hiyo.
MAKIPA: David De Gea, Anders Lindegaard, Sam Johnstone*
MABEKI: Rafael,
Patrice Evra, Phil Jones, Rio Ferdinand, Jonny Evans, Chris Smalling,
Nemanja Vidic, Alexander Büttner, Marnick Vermijl*, Michael Keane*
VIUNGO: Antonio
Valencia, Anderson, Ryan Giggs, Michael Carrick, Nani, Ashley Young,
Paul Scholes, Tom Cleverley, Darren Fletcher, Nick Powell, Larnell
Cole*, Jesse Lingard*, Ryan Tunnicliffe*
MAFOWADI: Wayne Rooney, Javier Hernandez, Danny Welbeck, Robin van Persie, Shinji Kagawa, Federico Macheda*, Joshua King*
No comments:
Post a Comment