Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kushoto),
akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi vifaa vya michezo
kwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na akamu
Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ , ikiwa ni sehemu ya
udhamini wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji hicho kwa
Klabu za Simba na Yanga, katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya TFF,
jijini Dar es Salaam jana. Wa (pili kulia) ni Mkurugenzi wa Mashindano
wa TFF, Saad Kawemba. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG
Msemajimaji
wa Klabu ya Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa
Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kulia) wakionyesha kwa waandishi wa
habari baadhi ya vifaa vya michezo baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bia
ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kushoto), ikiwa ni sehemu ya
udhamini wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji hicho kwa
Klabu za Simba na Yanga, katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya TFF,
jijini Dar es Salaam jana. Wa (pili kulia) ni na Mkurugenzi wa
Mashindano wa TFF, Saad Kawemba.
No comments:
Post a Comment