Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba
Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla
ya kuanza maziko
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu
katika Nyumba yake ya milele
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa
Tayari katika Kaburi
Shughuri za kuzika zimeanza
Mazishi yanaendelea
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka
Shada la Mauwa kwa machungu
Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa
uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe
Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa
Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa
Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima
za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua
pamoja na mke wake
Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu
Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Wananchi
wakiwa wanarejea baada ya mazishi
Waandishi
wa Habari wakichukua Tukio Live `
Na huu Ndio Mwisho wa tukio zima la
Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati, Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa
Mwandishi wa Chanel 10.
No comments:
Post a Comment