Kwa habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa boti aina ya seagul ambayo ilikuwa inafanya safari zake kati ya zanzibar na dar-es-salaam imezama karibu na kisiwa cha chumbe umbali kidogo kabla hujaingia bandari ya zanzibar.
taarifa zinasema kuwa boti hiyo ilikuwa na abiria pamoja na mizigo ikiwa inatokea dar
kwa taarifa kamili tutakujuza muda si mrefu endelea kufuatilia.
No comments:
Post a Comment