Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo
jana zikitambuliwa na Ndugu zao na kuruhusiwa Kuzichukuwa kwa ajili ya
Kufanya taratibu za mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Mjini
Zanzibar.
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Learnhat Alfonso wakatikati
akionekana na huzuni Baada ya kuziona Maiti zilizookolewa katika Meli
iliozama hapo jana katika Bahari ya Chumbe Zanzibar.Balozi alifika
katika Viwanja vya Maisara ili kuona namna shughuli za kushughulikia
maiti zinavyoendelea.
Mama alietambulika kwa Jina la Bitatu Uyelo ambae amenusurika na
Kupoteza Mtoto wake wa miezi tisa katika Ajali ya Meli ya Skagit
iliozama hapo jana katika Bahari ya Chumbe ikitokea Dare es salaam.
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu
wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama
lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa
watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama
lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu
wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama
lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.
No comments:
Post a Comment