Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za
Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM
uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre,
Mwanga mjini Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia, kwenye
mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa
Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia
kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja
wa Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tzeba akihutubia kwenye mkutano wa
CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community
Centre, Mwanga mjini Kigoma.
Wazee kwenye mkutano wa CCM, Uwanja wa Community Centre Mwanga, Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akituzwa na Mbunge
wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba alipocharaza gitaa, kwenye mkutano wa
CCM, Uwanja wa Community Centre, Mwanga Kigoma.
Habibu Ally wa kikundi cha Ujiji cha Sebene akicharaza kinanda akiwa chali wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment