Hii ndiyo meli iliyopoteza watanzania wenzetu MV SKAGIT
Boti zikiwa tayari kwenda eneo la tukio tayari kwa uokozi
Mmoja ya maiti ya ajali ya mv skagitBaadhi ya abiria wakiwa wanajaribu kuokoa maisha yao baada ya kukutwa wakiwa juu ya mgongo wa meli ambayo kwa sasa imezama kabisa haionekani
Waokoaji wakiwa katika harakati za uokozi wa ajali ya mv skagit
Mmoja wa maiti wa ajali ya mv skagit
Majeruhi akiwa anasaidiwa baada ya kushuka kwenye meli ya uokozi hapo jana
No comments:
Post a Comment