Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini.
Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
Dr slaa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
No comments:
Post a Comment