Mwanamama akisaidiwa na askari baada ya kuutambua mwili ndugu yake
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri kutambua maiti za ndugu zao
Maiti za watoto wachanga zikisubiri kutambuliwa na ndugu na jamaa zao
Baadhi ya wageni kutoka nchi mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa askari polisi
Wananchi wakiwa wamefurika katika viwanja vya maisara kisiwani unguja.
Wananchi wakiwa wenye huzuni wakati wa kuangalia miili ya jamaa zao
Maiti ikiwa inashushwa kwenye gali la jeshi katika viwanja vya maisara.
Madaktari wakiwa wanaandika miili ya marehemu wanaoletwa katika viwanja vya maisara.
Wahusika wa matayarisho ya mazishi ya miili ambayo itakuwa haijatambuliwa na jamaa zao
ili iweze kuzikwa kiserikali,wakiwa wanaandaa sanda kwa ajili ya taratibu husika.
No comments:
Post a Comment