MADAKTARI WARUDI KAZINI HOSPITALI YA MUHIMBILI JANA.
Daktari
Charles Some wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akimtoa damu kwa ajili
ya vipimo vya matibabu kwa Bi. Upendo Msangi katika wodi ya kibasila.
Madaktari na wauguzi katika hospitali hiyo wamerejea kazini leo (jana)
kufuatia agizo lililotolewa naWaziri Mkuu Mizengo Pinda jana (juzi) la kuwataka kurejea katika maeneo yao ya kazi.
No comments:
Post a Comment