kocha mpya wa Yanga Saintfiet
Mashabiki wa timu ya yanga wakiwa katika furaha baada ya
kumpokea kocha wa timu yao ya yanga
Kocha mpya wa Yanga, raia wa Ubelgiji, Tom Saintfiet, mchana huu ametua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukinoa kikosi cha timu hiyo. Kocha huyo amepokelewa na viongozi na umati wa wapenzi wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam
1 comment:
safi saana yani
Post a Comment