Wachezaji wa timu ya taifa ya hispania wakishangilia ubingwa wao baada ya kuichakaza timu ya taifa ya italy 4-0 katika mchezo wa fainali wa kombe la mataifa ya ulaya 2012.
Mchezaji devid silver akishangilia goli alilofunga dhidi ya timu ya itali jana.
No comments:
Post a Comment