tangazo

Thursday, July 5, 2012

ROBIN VAN PERSIE AGOMA KUSAINI MKATABA MPYA NA TIMU YA ARSENAL.

         Hatimae mpachika magoli wa klabu maarufu nchini uingereza(Arsenal Fc) anaejulikana kwa jina la Robin van persie agoma kutia saini yake kwa ajili ya mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo baada ya kuona hana kinacho mfanya abaki hapo kwa washika bunduki wa jiji la london arsenal.

habari zisizokuwa rasmi sinasema kuwa mshambuliaji huyo raia wa nchini holand huenda akajiunga natimu mashetani wekundu Manchester united au Matajiri wa jiji la london uingereza Manchester city.

No comments:

Translate